Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo nyumbani kwa marehemu Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana jioni kwa ajili ya kuitembelea na kuifariji familia akiwemo mjane na watoto wa marehemu ambapo amemuomba Mwenyezi Mungu kuwapa uvumilivu na kuwa na subira katika kipindi hiki cha maombolezo.
FUKUO LA KUFUKUA MAAJABU YA NGORONGORO LAFUKULIWA
-
Waswahili husema "Dunia ni jumba la maajabu " Ngorongoro haiishiwi maajabu
, Ni kama vile lile fukuo la kufukulia maajabu ndani ya hifadhi ya eneo la
Ng...
2 hours ago
0 Comments