Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Juni 16,2020 ameshiriki Shughuli ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhitimisha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bungeni Jijini Dodoma.
SWADAKA NI NGAO NA KINGA YA MADHAMBI KWA MWENYE KUITOA KWA AJILI YA ALLAH –
MISANGA
-
Taasisi ya Ramadhan Charity Programme 2026 imewataka Watanzania kutumia
mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa wamoja, kusaidiana na kufanya kazi kwa
pamoja ka...
7 hours ago
0 Comments