
MMOJA ya Wananchi wa Kisiwa Cha Pemba wakichangia damu kwa hiyari, ikiwa ni siku ya uchangiaji damu duniani ambapo wafanyakazi wa Benk ya NMB Tawi la Chake Chake wameungana na wananchi katika kuadhimisha siku hiyo, kwa kutoa vifaa vyenye thamani ya shilingi laki saba (700,000).(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
BAADHI ya watendaji wa Vitengo mbali mbali vya Wizara ya Afya Pemba wakiongozwa na Afisa Mdhamini wa Wizara hiyo Shadia Shaaban Seif, pamoja na wafanyakazi wa benk ya NMB Tawi la Chake Chake wakiongozwa na meneja wa Benk hiyo Hamad Mussa Msafiri (mwenye koti jeusi), wakiwa katika picha ya Pamoja baada ya kukabidhi msaada wenye thamani shilingi Laki saba(700,000), ikiwa ni siku ya uchangiaji damu duniani Pemba .(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
MENEJA wa benki ya NMB Tawi la Chake Chake Pemba Hamad Mussa Msafiri, akimkabidhi Afisa Mdhamini Wizara ya Afya Pemba Shadia Shaban Seif, moja ya maboksi ya Vitakasa mikono (Sanitizers) ikiwa ni miongoni mwa baadhi ya vitu vilivyotolewa na benk hiyo, katika siku ya uchangiaji damu duniani ambapo NMB imekabidhi vifaa vyenye thamani ya shilingi laki saba (700,000).(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
NAIBU WAZIRI KIHENZILE ATEMBELEA BANDA LA TCAA MKUTANO WA 18 WA PAMOJA WA
MAPITIO YA SEKTA YA USAFIRISHAJI
-
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile, Disemba 15, 2025
ametembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) katika
Mkutano wa 18 wa...
47 minutes ago
0 Comments