Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
ameshikana mikono na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi, Rais
Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne
Dkt. Jakaya Kikwete mara baada ya kulihutubia Bunge la 11 la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo tarehe 16 June 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Spika wa Bunge Job Ndugai mara
baada ya kulihutubia Bunge la 11 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wabunge wakati akifunga Bunge la
11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo tarehe 16 June 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kulihutubia na kulifunga
Bunge hilo la 11 jijini Dodoma.









0 Comments