Waziri Kiongozi mstaafu Shamsi Vuai Nahodha akisalimiana na Katibu wa Idara ya Oganizeshi ya CCM Zanzibar Ndg. Galoso Nyimbo wakati akirudisha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM leo
Katibu wa Idara ya Oganizeshi ya CCM Zanzibar Ndg. Galoso Nyimbo akipokea na kuzikagua fomu za Waziri Kiongozi mstaafu , Shamsi Vuai Nahodha
Waziri Kiongozi mstaafu Shamsi Vuai Nahodha akizungumza na wanahabari baada ya kurudisha fomu za kugombea Urais kupitia CCM leo
FCC yatoa elimu kwa wananchi wa Chalinze
-
Maafisa wa kulinda walaji kutoka Tume ya Ushindani (FCC) wametoa elimu kwa
wananchi wa Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani kuhusu haki na wajibu wa
mlaj...
44 minutes ago



0 Comments