6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Zimamoto na Malindi Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu Hizo Zimetoka Sare 0-0.

Mshambuliaji wa Timu ya Malindi akimpita beki wa Timu ya Zimamoto wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika uwanja wa Mao Zedong. Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungani 0-0.







Post a Comment

0 Comments