Wananchi wa Jiji la Dodoma wakiwa katika harakati za kujipatia nguo katika mnada wa Soko maarufu la Mnadani kama walivyokutwa na mpiga picha wetu akiwa katika matembezi mkoani huo hivi karibuni.
TASAC YANUNUA BOTI MBILI ZA UTAFUTAJI NA UKOAJI TANGA NA KIGOMA
-
Kaimu Meneja wa Usajili na Ukaguzi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania
(TASAC) Mhandisi Said Kaheneko akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana
na u...
5 hours ago
0 Comments