Mradi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Ujenzi wa Jengo la Maduka ya Kisasa la Thabit Kombo Michezani Jijini Zanzibar likiwa katika hatua za mwisho za ujenzi huo katika eneo la michezani Kisonge kama linavyoonekana pichani.
RC CHALAMILA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KUFUATIA KIFO CHA CARDINALI PENGO
-
Na Mwandishi Wetu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Feb 23,2026 akiwa
ameambatana na kamati ya usalama Mkoa, amesaini kitabu cha maom...
1 hour ago
0 Comments