Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Maofisa wa Jeshi la Polisi Jijini Gaborone alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sir Seretse Khama Nchini Botswana lep Novemba 26,2020 kwa ajili ya kumuwakilsha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa Dharura wa pamoja baina ya SADC, ORGAN TROIKA, Botswana, Malawi na Zimbabwe Nchi Zinazochangia Vikosi vya Ulinzi na Amani vya Umoja wa Mataifa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kwenye Kikosi cha Umoja wa Mataifa Nchini DRC.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sir Seretse Khama Gaborone Nchini Botswana leo Novemba 26,2020 kwa ajili ya kumuwakilsha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa Dharura wa pamoja baina ya SADC, ORGAN TROIKA, Botswana, Malawi na Zimbabwe Nchi Zinazochangia Vikosi vya Ulinzi na Amani vya Umoja wa Mataifa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kwenye Kikosi cha Umoja wa Mataifa Nchini DRC unaotarajiwa kufanyika tarehe 28 Novemba 2020 Jijini Gaborone Nchini Botswana. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
DKT. CHAYA: UWEKEZAJI WA VIWANDA NI NGUZO YA AJIRA, MASOKO YA WAKULIMA NA
UCHUMI WA TAIFA
-
Mkurugenzi Mtendaji wa Jambo Group of Companies, Mhe. Salum Khamis akieleza
hatua za uzalishaji pamoja na uwekezaji uliofanyika kiwandani.
Mkurugenzi wa K...
3 hours ago
0 Comments