Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akiongozana na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu (kushoto), baada ya kumaliza ziara ya ukaguzi wa huduma za Kiuhamiaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,Visiwani Zanzibar. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akimsikiliza Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu (kushoto), wakati wa ziara ya ukaguzi wa huduma za Kiuhamiaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Visiwani Zanzibar. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akiongozana na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu (katikati), wakati wa ziara ya ukaguzi wa huduma za Kiuhamiaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,Visiwani Zanzibar. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akiongozana na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu (kushoto), wakati wa ziara ya ukaguzi wa mradi wa ukarabati wa nyumba za askari polisi wa uhamiaji(zinazoonekana pichani), zilizopo Kiembe Samaki,Visiwani Zanzibar. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
IFM YATAKIWA KUTENGENEZA MASHIRIKIANO NA WADAU SEKTA YA ELIMU KWA MASLAHI
YA TAIFA.
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Dkt Hatib Kazungu ametoa Rai kwa Uongozi wa
Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM)Tawi la Dodom...
1 hour ago
0 Comments