Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bila la Taifa Tanzania Dkt.Irehema Doriye akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi laki tano Mchezaji Bora wa Mchezo wa nusu Fainali Michuano ya Kombe la Ma;pinduzi Cup Mzamiru Yassin, baada ya kuibuka mchezaji bora katika mchezo huo kati ya Simba na Namungo uliofanyika Uwanja wa Amaan Jana Usiku 11/1/2021.
UPATIKANAJI WA DAWA WAIMARIKA NCHINI
-
OWM-TAMISEMI
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OWM– TAMISEMI) anayeshughulikia masuala ya Afya, Mhe. Dkt. Jafari ...
14 hours ago
0 Comments