WAANDISHI wa habari wa shirika la Magazeti ya
Serikali Zanzibar Ofisi ya Pemba, Habiba Zarali na Zuhura Juma wakifahamisha
kwa vitendo juu ya uwekaji wa habari zinazohusiana na wanawake na uongozi
katika mitandao ya kijamii, baada ya kupatiwa mafunzi ya matumizi ya mitandao na
TAMWA Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
Teknolojia : Wizara Maji na Matumizi ya Teknolojia katika utatuzi wa
changamoto
-
Na: Dk. Reubeni Lumbagala
Wiki ya Maji Kitaifa nchini Tanzania na Siku ya Maji Duniani imemalizika
Machi 22, 2026. Imekuwa ni wiki nzuri kwani mijadal...
2 hours ago

0 Comments