Taswira mbalimbnali za Maelfu ya wananchi wa Zanzibar wakiwa wamejipanga barabarani wakati mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli ulipokuwa unapelekwa Hiospitali ya Jeshi katika kitongoji cha Bububu baada ya kuagwa na maelfu kwa maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Amaan wakiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi leo Jumanne Machi 23, 2021
TARI Naliendele yashauri wakulima wa korosho kufuata hatua hizi kuleta tija
uzalishaji wa korosho nchini
-
Na Anne Robi, Mtwara
WATAALAMU wa kilimo cha korosho nchini wamewaasa wakulima kuanza kuandaa
mashamba yao kwa kufuata hatua kuu tatu na muhimu katika kul...
2 hours ago






0 Comments