Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdori Mpango, akifungua Kongamano la miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika leo April 26,2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Jijini dodoma" Kauli mbiu Muungano wetu ni Msingi Imara wa Mapinduzi ya Uchumi, Tudumishe Mshikamano wetu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
KAMATI YA BUNGE UWEKEZAJI MITAJI YA UMMA YARIDHISWA NA MRADI WA MAKAZI WA
CANADIAN MASAKI
-
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma
(PIC), Masanja Kadogosa, leo Machi 24, 2026 ameongoza ziara ya ukaguzi wa
mradi...
5 hours ago
0 Comments