Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Vifaa mbalimbali ikiwemo Mchele, Sukari, Mafuta Unga wa Ngano, Sabuni, pamoja na Vinywaji Baridi kwa ajili ya maandalizi ya Ufungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Unaotarajiwa kuanza hivi karibuni, katika Kituo cha kulelea Watoto Yatima cha Rahman Orphanege Centre Chang'ombe Jijini Dodoma leo April 12,2021, pamoja na Milango na Madirisha kwa ajili ya kumalizia Ujenzi wa Jengo la Madrasa ya Kituo hicho.
MIRADI SEKTA YA MAFUTA NA GESI ASILIA IKAMILIKE KWA WAKATI- DKT.MATARAGIO
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi Asilia,
Dkt. James Mataragio, ameitaka Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya
Petroli...
28 minutes ago
0 Comments