Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa akipika fatha kabla ya kuaza kwa Kisoma Maalum kumsomea Hayati Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Abeid Amani Karume kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo 7-4-2021.
Naibu Waziri aipongeza hospitali ya E.M kwa uwekezaji wa CT SCAN
-
Na Mwandishi Wetu
NAIBU Waziri wa Afya, Dk Florence Samizi amewataka watanzania kuwekeza
kwenye miundombinu ya afya ili kusogeza huduma za matibabu karibu ...
24 minutes ago
0 Comments