MKURUGENZI Idara Huduma za Rais Ikulu Zanzibar (Mnikulu).Ndg. Mahmood Hashim Othman , akimkabidhi mmoja wa Wazee wa Makundi Maalum Bw. Subira Haji Mlenge, mchele na fedha, akikabidhi kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitry,hafla hiyo imefanyika katika Ofisi ya Mnikulu Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MKURUGENZI wa Idara Huduma za Rais Ikulu Zanzibar (Mnikulu) Ndg. Mahmood Hashim Othman, akizungumza na kuwasilisha salamu za Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, kwa Wazee wa makundi maalum waliofika Ikulu kwa ajili ya kukabidhiwa Sikukuu iliotolewa na Rais, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi ya Mnikulu Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
TCAA YAIMARISHA USALAMA WA ANGA KWA MIFUMO YA KISASA
-
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imesema imejizatiti kuendana na
mabadiliko ya teknolojia duniani, ikiwemo matumizi ya Akili Mnemba (AI),
ili ku...
0 Comments