Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Hurumzi wakiwa katika mapunziko ya asubuhi baada ya kumaliza Mitihani yao ya majaribio na kujisomea kwa kujiandaa na mtihani wa Kiswahili baada ya mapunziko wakiwa nje ya jengo la skuli hiyo kama walivyokutwa na mpiga picha weti akiwa katika mizunguko ya mitaani.
MZEE EDWIN MTEI AAGWA ARUSHA, SERIKALI KUENZI MCHANGO WAKE KITAIFA
-
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ibada ya
kumuaga aliyekuw...
8 minutes ago




0 Comments