Waziri wa Nchi ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar Mhe Jamal Kassim Ali akizungumza na kutowa maelekezo kwa watendaji wa Wizara yake wakiwa nje ya ukumbi wa mikutano ya Baraza la wawakilishi mara baada ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitisha Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022
Wanafunzi 40 Mabalozi wa Utalii Watembelea Ngorongoro na Serengeti
-
Na Pamela Mollel,Babati
Wanafunzi 40 kutoka shule nne zilizopo ndani ya Hifadhi ya Jamii ya
Wanyamapori ya Burunge (Burunge WMA) wilayani Babati, mkoa wa M...
3 hours ago
0 Comments