Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Khamis Hamza Chilo akilikagua Basi la Kampuni ya Classic lililopata ajali katika eneo la Buyubi mkoani Shinyanga likitoka Kampala Uganda kwenda jijini Dar es Salaam ambapo watu wanne wanaripotiwa kufariki.Ziara hiyo imefanyika usiku wa kuamkia leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
MIAKA 25 YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA IMEBORESHA UTUMISHI WA UMMA
NCHINI – MWAIPAYA
-
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Mhe. Abdallah Mwaipaya, aliyemwakilisha Mkuu wa
Mkoa wa Mtwara, amesema hayo wakati wa hafla ya kuhitimisha mbio za
Utumishi M...
12 minutes ago
0 Comments