RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afya Duniani Nchini Tanzania Dr. Tigest Ketsela Mengestu, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na I
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afri Duniani Nchini Tanzania (WHO) Dr.Tigest Ketsela Mengestu, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 3/6/2021 katika ukumbi wa Ikulu akiwa na Ofisa wa WHO Zanzibar Dr.Ghirmay Redae Andemichael.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afya Duniani Nchini Tanzania Dr.Tigest Ketsela Mengestu (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Afisa wa WHO Zanzibar Dr. Ghirmay Redae Andemichael, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Benki ya Stanbic yatoa zawadi za msimu wa sikukuu kupitia Kampeni ya Masta
wa Miamala
-
Benki ya Stanbic Tanzania imetoa zawadi za msimu wa sikukuu kupitia kampeni
inayoendelea ya Masta wa Miamala.
Akizungumza kwenye hafla hiyo iliyoambatana ...
10 hours ago
0 Comments