WANANCHI kutoka shehia mbali mbali Kisiwani Pemba, wakisoma kwa makini barua zao walizopewa na Jumuiya ya PECEO kwa ajili ya kwenda kuombea hati za umiliki wa viwanja au mashamba na maeneo mengine, ili kuwa wamiliki halali wa vitu hivyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
KITUO CHA UMAHILI MLOGANZILA KUIMARISHA HUDUMA ZA MOYO, KINYWA NA MENO
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv
UJENZI wa kitengo cha kutoa huduma za kinywa na meno katika Chuo Kikuu cha
Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Kamp...
8 hours ago
0 Comments