Mwenyekiti wa Tume ya uratibu na udhibiti wa dawa za kulevya Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiongoza kikao cha kwanza cha kamati hiyo tangu alipoteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi Juni 24, mwaka huu.
MWANAFUNZI MUHAS ABUNI KIFAA CHA KUPIMA MANJANO BILA KUCHUKUA DAMU.
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv
MWANAFUNZI wa Uhandisi Tiba kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi Shirikishi
Muhimbili (MUHAS) wamekuja na ubunifu wa kifaa kinachoi...
4 hours ago
0 Comments