MKUU wa Idara ya Mazingira Pemba Mwalim Khamis
Mwalim, akitoa majibu ya masuali yaliyoulizwa na wadau wakati wa uzinduzi wa awamu ya pili ya mradi wa uimarishaji wa
mfumo wa maji machafu wa awamu ya pili wa Msingini Chake chake Pemba, hafla iliyofanyika
wesha nje kidogo ya mji wa Chake Chake.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar, Dr Omar Dadi Shajak, akizungumza wakati wa uzinduzi wa awamu ya pili ya mradi wa uimarishaji wa mfumo wa maji machafu msingini Chake chake Pemba, hafla iliyofanyika wesha nje kidogo ya mji wa Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKURUGENZI Mkuu wa Idara ya Mazingira Zanzibar Farhat Ali Mbarouk,
akibadilishana mawazo na Mshauri
elekezi na mhandisi wa miundombinu ya mradi huo kutoka Green Water Sara Den
Haring, mara baada ya uzinduzi wa awamu ya pili wa mradi wa uimarishaji wa mfumo wa maji machafu wa
awamu ya pili wa Msingini Chakechake Pemba, hafla
iliyofanyika wesha nje kidogo ya mji wa Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
0 Comments