RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtuliza Mama Anna Philipo mkaazi wa Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi mwenye mgogoro wa Nyumba yeke kutakiwa kuvunjwa,ambapo tayari hatua za kutatua tatizo hilo likifanyiwa kazi .[Picha na Ikulu] 29/09/2021.
SWADAKA NI NGAO NA KINGA YA MADHAMBI KWA MWENYE KUITOA KWA AJILI YA ALLAH –
MISANGA
-
Taasisi ya Ramadhan Charity Programme 2026 imewataka Watanzania kutumia
mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa wamoja, kusaidiana na kufanya kazi kwa
pamoja ka...
9 hours ago
0 Comments