MMOJA wa Vijana wa skauti Kisiwani Pemba, ambaye
jina lake halikupatikana mara moja, akigawa toleo maalumu la miaka 57 ya elimu
bila Malipo kwa wananchi mbali mbali, waliohudhuria maadhimisho hayo hivi
karibuni Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
WANAFUNZI wa Skuli za
Msingi Kisiwani Pemba wakisoma, toleo maalumu la Miaka 57 ya Elimu bila Malipo
Kitaifa Maadhimisho hayo yamefanyika Kiswani Pemba hivi Karibuni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA
WANANCHI mbali mbali Kisiwani Pemba wakisoma kwa
umakini Toleo maalumu la Miaka 57 ya Elimu bila Malipo kitaifa maadhimisho hayo
yamefanyika Kisiwani Pemba hivi karibuni.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya walimu kutoka skuli mbali mbali wakipitia
kwa umakini Toleo maalumu la Miaka 57 ya Elimu bila malipo, kitaifa maadhimisho
hayo yamefanyika Kisiwani Pemba hivi karibuni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MADAKTARI wa Huduma ya kwanza wafungua toleo maalumu
la miaka 57 ya Elimu bila ya Malipo, Kitaifa maadhimisho hayo yamefanyika
Kisiwani Pemba hivi karibuni.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA)
0 Comments