Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha kumbukumbu alipotembelea Jengo jipya la Makumbusho katika mji mpya wa Serikali Cairo nchini Misri jana jioni.
MHANDISI JUMBE AUNGANA NA WANANCHI KUUKARIBISHA MWAKA MPYA KWA CHAKULA CHA
PAMOJA SHINYANGA
-
Mdau wa Maendeleo Mhandisi, James Jumbe, leo Januari Mosi, amekutana na
makundi mbalimbali ya wananchi wa Manispaa ya Shinyanga katika hafla ya
pamoja ya k...
4 hours ago
0 Comments