Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP hapa Tanzania Bibi Christin Musisi alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha .[Picha na Ikulu] 05/01/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP hapa Tanzania wakati wa mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha .[Picha na Ikulu] 05/01/2022
TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA UTALII NCHINI FINLAND
-
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akielezea vivutio
vya utalii vya Tanzania pamoja na filamu ya Tanzania: The Royal Tour,
wakati wa M...
1 hour ago
0 Comments