Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid akifurahia Jambo na Mgeni wake Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Eala Mhe Martin Ngoga wakati walipokutana kwa ajili ya kufanya mazungumzo hivi karibuni alipokuja Zanzibar kwa ajili ya kushiriki Sherehe za miaka 58 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
KWAGILWA AKAGUA ICU YA KISASA HANDENI MJI, KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA
-
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI), Mhe. Reuben Kwagilwa, amekagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la
Wa...
14 minutes ago
0 Comments