GARI ya abiria yenye Namba Z845 EP, Ruti Gombani Chake Chake, inayodaiwa ambayo imepata ajali na kupanda viguzo zilizowekwa taa za barabarani, baada ya kudaiwa kufeli breki tokea Michakaeni hadi mjini kwenye mataa.(PICHA NA ABDI SULEIMAN.)
BODI YA MAJI BONDE LA RUFIJI YABORESHA UPATIKANAJI WA MAJI SHULE YA MSINGI
JAMHURI ILONGO, MBARALI
-
Bodi ya Maji Bonde la Rufiji kupitia Mradi wa Kuimarisha Mbinu za Asili za
Kijamii za Usimamizi wa Vyanzo vya Maji na Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi
(NBS...
1 hour ago
0 Comments