Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo ya Ubelgiji, Luxembourg, Afrika, Caribbean na Pacific (CBL-ACP), Brussels nchini Ubelgiji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanakizungumza na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo ya Ubelgiji, Luxembourg, Afrika, Caribbean na Pacific (CBL-ACP), Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 17 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanakizungumza na Katibu Mkuu wa Shirika la Forodha Duniani (WCO) Brussels nchini Ubelgiji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanakizungumza na Katibu Mkuu wa Shirika la Forodha Duniani (WCO) Brussels nchini Ubelgiji
Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) Paul Koyi akisaini Hati ya makubaliano na Makamu wa Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo ya Ubelgiji, Luxembourg, Afrika, Caribbean na Pacific (CBL-ACP) Amaury Luyckx leo tarehe 17 Februari, 2022.
MAHAFALI YA 48 YA BODI YA NBAA YAFANA
-
Wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) wakiwa
kwenye maadamano ya kitaaluma wakati wa mahafali ya 48 ya Bodi hiyo
yaliyofanyik...
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
0 Comments