Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Alhaj Zuberi Ali Maulid akimkabidhi Vyakula kwa Mwakilishi wa Nyumba ya Wazee Sebleni Unguja, wakati wa hafla ya Futari maalum iliyoandaliwa na Benki wa CRDB Tawi la Zanzinar, kwa Wateja wa benki hiyo Tawi la Zanzibar iliyofanyika katika viwanja wa Mao Zedung Unguja Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja.
Waziri Kijaji Ampokea Braydon Bent
-
📍Atimiza ndoto yake ya siku nyingi ya kuitembelea Tanzania
WAZIRI wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amempokea shabiki
mashuhuri wa klabu ya...
47 minutes ago
0 Comments