RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.,Hussein Ali Mwinyi mgeni rasmin katika Mashindano Makuu ya
7 ya kusoma Quran Tajweed akisalimiana na Majaji wa Mashindano hayo kutoka
Kenya na Misri, alipowasili katika Masjid Noor Muhammad S.A.W Mombasa kwa
Mchina
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa kabla ya kuaza kwa
Mashindano Makuu ya 7 ya kusoma Quran Tajweed yalioandaliwa na Majlisul Quran Zanzibar
na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kaab yaliofanyika
katika Masjid Noor Muhammad S.A.W. Mombasa kwa Mchina.
WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia
Mashindano Makuu ya 7 ya kusoma Quran Tajweed yalioandaliwa na Majlisul Quran
Zanzibar, yaliofanyika katika Masjid Noor Muhammad S.A.W Mombasa kwa Mchina
WANAWAKE WA NBAA WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI DAR ES SALAAM
-
Wanawake wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA)
wameungana na wanawake wengine kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani 2026,
kat...
1 hour ago
0 Comments