Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ofisi ya Tanzania Dkt. Patricia Laverley mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 20 Mei, 2022.
MADEREVA VIP POLISI WATAKIWA KUIMARISHA ULINZI, KUEPUKA AJALI
-
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Madereva wa viongozi mashuhuri (VIP) wa Jeshi la Polisi wametakiwa kuweka
mbele jukumu lao la msingi la kulinda maisha y...
5 hours ago
.jpg)
.jpg)
0 Comments