Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya AngloGold Ashanti Dkt. Alberto Calderon mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 23 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika Picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya AngloGold Ashanti Dkt. Alberto Calderon mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
MAKAMU WA RAIS DKT NCHIMBI AWASILI MKOANI KAGERA LEO KUWEKA JIWE MSINGI
UJENZI WA KAMPASI YA UDSM
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel
Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera leo tarehe
14 D...
45 minutes ago
.jpg)
.jpg)
0 Comments