Khalifa wa Al Imam Ali Alhabshi na Mkuu wa Chuo cha Kwanza Hadharmout cha Yemen akiongiza dua wakati wa uzinduzi wa Msikiti Mkuranga iliyofanyika leo 28-5-2022 katika hafla iliyohudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mufti Mkuu wa Tanzania Alhaj Dkt Abubakar Zubeit bin Ally, wakiitikia dua baada ya kufunguliwa kwa msikiti huo
GGML Kili Challenge Yashiriki Maonesho ya Kilimanjaro Marathon 2026
-
Moshi, Tanzania
GGML Kili Challenge inayotekelezwa kupitia GGML Kili Trust, inashiriki
Kilimanjaro Marathon 2026, maarufu kama “Mbio za Watu”, kupitia ma...
2 hours ago



0 Comments