Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata malezo kutoka kwa Mkuu wa Shule ya Seondari Mandarawe, Mwalimu Ladia Juma (kushoto) kuhusu ujenzi wa Shule hiyo wilyani Ruangwa. Juni 3, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAZIRI MKUU AAGIZA UCHUNGUZI WA MFUMO WA UPATIKANAJI WA DAWA HOSPITALINI
-
-Akemea watumishi wanaowaelekeza wananchi kununua dawa nje ya hospitali
-Aonya utapeli wa ardhi za vijiji
-Akemea wakandarasi wanaolipwa fedha za miradi...
44 minutes ago


0 Comments