Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwasalimu abiria mbalimbali waliosafiri na
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati akiwa safarini kutokea Dodoma
kuelekea Dar es salaam leo Tarehe 16 Juni 2022.
WAZIRI MKUU AAGIZA UCHUNGUZI WA MFUMO WA UPATIKANAJI WA DAWA HOSPITALINI
-
-Akemea watumishi wanaowaelekeza wananchi kununua dawa nje ya hospitali
-Aonya utapeli wa ardhi za vijiji
-Akemea wakandarasi wanaolipwa fedha za miradi...
46 minutes ago
.jpg)


0 Comments