Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
leo tarehe 6 Julai 2022 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Dar es salaam,akiagana na Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango kabla ya
kuondoka kuelekea Dakar nchini Senegal kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za
Afrika zinazonufaika na Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA Summit for
Africa)..jpg)
UKAGUZI WA MABASI YA ABIRIA WAFANYIKA KUDHIBITI AJALI
-
Na Pamela Mollel Arusha
Jeshi la Polisi Nchini kupitia kikosi cha Usalama barabarani limefanya
ukaguzi maalumu wa mabasi ya abiria kwa ajili ya kudhibit...
6 hours ago
.jpg)
.jpg)
0 Comments