6/recent/ticker-posts

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amtembelea Mwanasiasa na Mfanyabiashara Maarufu Zanzibar Mohammed Raza

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwanasiasa na mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar Mhe. Mohammed Raza Daramsi alipofika nyumbani kwake Kibweni Wilaya ya Magharibi “A” Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake leo 28-8-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakizungumza na Mwanasiasa na Mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar  Mhe. Mohammed Raza Daramsi, walipofika nyumbani kwake Kibweni Wilaya ya Magharibi “A” Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake leo 28-8-2022 na (kushoto kwa Rais) mtoto wake Hassan Mohammed Raza.
 

Post a Comment

0 Comments