Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid akikabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya mwaka 2020/2021 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar. Mhe.Haroun Ali Suleiman, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi ya Spika Chukwani Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar. Mhe.Haroun Ali Suleiman akimfahamisha kitu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid wakati alipomkabidhi Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya mwaka 2020/2021 , hafla hiyo imefanyika katika Ofisi ya Spika Chukwani Zanzibar.
SERIKALI YAPELEKA TABASAMU KWA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU MTWARA
-
Na Mwandishi wetu, Mtwara.
Serikali kupitia Ofisi ya Halmashauri ya Mtwara Mikindani imekabidhi vifaa
saidizi na kiasi cha shilingi milioni 342 ikiwa n...
29 minutes ago
0 Comments