WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida kwa njia ya mitandao kwenye ukumbi wa Palais des Congres, jijini Tunis, Tunisia Agosti 27, 2022. Mheshimiwa Majaliwa amemshukuru Waziri Mkuu wa Japan kwa misaada ambayo nchi yake inaipatia Tanzania ili kuleta unafuu kwenye maisha ya Watanzania. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WIZARA YA AFYA YASIKITISHWA NA WANAOTAPELI KWA JINA LA MCHENGERWA
-
WIZARA ya Afya imesikitishwa na kitendo cha baadhi ya watu wenye nia ovu
ambao wamekuwa wakitumia jina la Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Omary
Mchengerwa ku...
8 hours ago
0 Comments