6/recent/ticker-posts

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango Awasili Nchini Rwanda Leo 5-9-2022

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasili  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali nchini Rwanda  ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika wa Mwaka 2022 (AGRF 2022) unaofanyika nchini humo kuanzia tarehe 6 hadi 9 Septemba 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Mheshimiwa Vincent Biruta wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali nchini Rwanda  ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika wa Mwaka 2022 (AGRF 2022) unaofanyika nchini humo kuanzia tarehe 6 hadi 9 Septemba 2022.

Post a Comment

0 Comments