Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Ndg Raya Issa Msellem Akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa Sita wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Nchi mbali mbali za Afrika unaotarajiwa kufanyika Zanzibar kuanzia tarehe 1 - 3 Novemba katika Hoteli ya Madinat Al Bahri, Zanzibar ambapo Baraza la Wawakilishi ndio Mwenyeji wa Mkutano huo na Mgeni Rasmi Anatarajiwa kuwa Mhe Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr Hussein Ali Mwinyi.
Benki ya Stanbic yatoa zawadi za msimu wa sikukuu kupitia Kampeni ya Masta
wa Miamala
-
Benki ya Stanbic Tanzania imetoa zawadi za msimu wa sikukuu kupitia kampeni
inayoendelea ya Masta wa Miamala.
Akizungumza kwenye hafla hiyo iliyoambatana ...
8 hours ago
0 Comments