WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamal Kassim Ali akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt.Stergomena Tax,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri Ikulu Jijini Zanzibar leo 17-11-2022.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt.Stergomena Tax akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe. Jamali Kassim Ali, alipofika Ofisini kwake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri Ikulu Jijini Zanzibar leo 17-11-2022.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamal Kassim Ali akiagana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt. Stergomena Tax, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri Ikulu Jijini Zanzibar leo 17-11-2022.(Picha na Ikulu)
GF TRUCKS YAWASHIKA MKONO FEMATA SAFARI YA CANADA
-
Kampuni ya GF Trucks & Equipment’s Ltd imeungana na Chama cha Wachimbaji
Madini Wadogo Tanzania (FEMATA) katika safari ya kwenda nchini Canada
kushiriki m...
9 minutes ago
0 Comments