Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo amepokelewa na Viongozi wa Serikali wakati alipowasili Kisiwani Pemba kushiriki matembezi na Mazoezi ya Viungo tr 01 jan 2023 kwa kuukaribisha Mwaka mpya,sambamba na uzinduzi wa miradi mbali mbali ya mendeleo katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 31/12/2022.
NAIBU WAZIRI KIHENZILE ATEMBELEA BANDA LA TCAA MKUTANO WA 18 WA PAMOJA WA
MAPITIO YA SEKTA YA USAFIRISHAJI
-
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile, Disemba 15, 2025
ametembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) katika
Mkutano wa 18 wa...
9 hours ago



0 Comments