6/recent/ticker-posts

Mwakilishi wa Vijana Wilaya ya Mjini akabidhi water dispencer Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KISTSO

 Baadhi ya Wafanyakazi na Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wakiwa katika hafla ya makabidhiano ya Water Spencer kwa Serikali ya Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KISTSO), hafla iliyofanyika katika Taasisi hiyo Mbweni Zanziabar.             

 Mwakilishi wa Vijana Wilaya ya Mjini Huzaima Mbaraka Tahir akimkabidhi  Water Spencer Rais wa Serikali ya Wanafunzi ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KISTSO), Hassan Songoro Maulid, hafla iliyofanyika katika Taasisi hiyo Mbweni Zanziabar.
 Mwakilishi wa Vijana Wilaya ya Mjini Huzaima Mbaraka Tahir akimkabidhi  Water dispencer Rais wa Serikali ya Wanafunzi ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KISTSO), Hassan Songoro Maulid, hafla iliyofanyika katika Taasisi hiyo Mbweni Zanziabar.
      (PICHA NA MARYAM KIDIKO-KIST)

Post a Comment

0 Comments