Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Urambo Margareth Sitta, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama, Bungeni jijini Dodoma, Juni 9, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
TARI Naliendele yashauri wakulima wa korosho kufuata hatua hizi kuleta tija
uzalishaji wa korosho nchini
-
Na Anne Robi, Mtwara
WATAALAMU wa kilimo cha korosho nchini wamewaasa wakulima kuanza kuandaa
mashamba yao kwa kufuata hatua kuu tatu na muhimu katika kul...
1 hour ago
0 Comments