Mheshimiwa Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Mhe. Suleiman Masoud Makame jana pembezoni mwa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Nchi Wanachama wa IORA, unaofanyika Colombo, Sri Lanka, alikutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Korea Bwana Chung Byun-Won, na kuzungumzia maeneo mbali mbali ya mashirikiano baina ya Tanzania na Korea ikiwemo masuala ya kibiashara, miundombinu, uwekezaji, uchumi wa buluu, maendeleo ya kijamii, miradi mbali mbali ya maendeleo inayofanyika Tanzania kupitia Serikali ya Korea, pamoja na Mkutano ujao wa Korea na Afrika unaotarajiwa kufanyika mwakani na fursa zinazokuja za mahusiano ya karibu zaidi yanayozidi kukua baina ya Tanzania na Korea.
TARI Naliendele yashauri wakulima wa korosho kufuata hatua hizi kuleta tija
uzalishaji wa korosho nchini
-
Na Anne Robi, Mtwara
WATAALAMU wa kilimo cha korosho nchini wamewaasa wakulima kuanza kuandaa
mashamba yao kwa kufuata hatua kuu tatu na muhimu katika kul...
29 minutes ago

0 Comments