Mshambuliaji wa Timu ya Azam akijiandaa kumpita beki wa Timu ya Chipukizi wakati wamchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024 , mchezo uliofanyika jana usiku katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar. Timu ya Azam imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
TRA YAANZA KUCHUKUA HATUA UTARATIBU MPYA UINGIZAJI MAFUTA YA KULA
-
KAMISHINA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) Yusuph Mwenda amesema
Mamlaka hiyo tayari imeanza kuchukua hatua kuelekea kuanza kutumika kwa
utaratibu m...
3 hours ago





0 Comments